Unafanya nini kama unakuta kitu ulichokifikiria si ulichokipata na hutakipata karibuni?mi nadhani baada ya kuwa karibu amegundua vitu vingi tofauti ndio sababu

Najua long distance relationships zinachangia, lakini hilo hali justify mtu
kupoteza imani uliokuwa umejiwekea ya mwenza wako. Unless tafsiri ya mapenzi
imegawanyika kuliko ninavyoielewa.