Tesco Tesco
Member
- Jun 3, 2024
- 7
- 20
Which thing have made you think twice when you wakeup today?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo nchi yetu imetupumbaza kuwa English ni lugha ya wasomi, ndio maana wengi wanajifosi kuongea ngeli ilhali hawakiwezi. Tumieni tu kiswahili, mtaeleweka kwa utuo. Kumbukeni kuongea broken English sio fashion, ni upuuziWhich thing have made you think twice when you wakeup today?
Sidhani kama ni sahihi kumzuia mtu kuongea lugha fulani kwa vile tu anakiboronga, isipokuwa kama umeandika sitiari.Tatizo nchi yetu imetupumbaza kuwa English ni lugha ya wasomi, ndio maana wengi wanajifosi kuongea ngeli ilhali hawakiwezi. Tumieni tu kiswahili, mtaeleweka kwa utuo. Kumbukeni kuongea broken English sio fashion, ni upuuzi
Kurudia rudia kitu kunamfanya mtu kuwa mlemavu. Ni afadhali kwenda sehemu n kusema hujui English ili utafutiwe mkalimani, kuliko kwenda kuboronga. Kuongea kiswahili sio ujinga. Kuongea na kufikisha ujumbe ipasavyo ndio kitu cha muhimu kokote duniani, nje ya hili ni ubabaishaji tuSidhani kama ni sahihi kumzuia mtu kuongea lugha fulani kwa vile tu anakiboronga, isipokuwa kama umeandika sitiari.
Kukosea njia ndiyo njia ya kujifunza. Usiache kujifunza katika maisha yako, kwa sababu maisha yenyewe hayakomi kutufundisha.