Thinking catastroph

1. The future of my kids. Kwa mfano viwanja, im wondering by the time wanaginga 30s possibility ya kykaa mjini ni finyu maana watapata viwanja almost nje ya mkoa. Im thinkin out loud kuwataftia maeneo ili at least waanzie masiha mjini coz mimi sio muamini wa ile theory ya mtoto kuteseka jus bkoz mzazi aliteseka kupata life.
2. Nmefkiria bills zote za hapa kwangu and im wondering kua na vyanzo mbalimbali to foot each bill. Mfano nifuge nguruwe ili profit yake iwe inaweka mafuta kwenye magari n.k
3. Ah, nko busy, zingine baadae
 
The fact that grammar is no longer an important issue when forming English composition.

^Which thing made you think twice when you woke up today?^
 
Which thing have made you think twice when you wakeup today?
Tatizo nchi yetu imetupumbaza kuwa English ni lugha ya wasomi, ndio maana wengi wanajifosi kuongea ngeli ilhali hawakiwezi. Tumieni tu kiswahili, mtaeleweka kwa utuo. Kumbukeni kuongea broken English sio fashion, ni upuuzi
 
Sidhani kama ni sahihi kumzuia mtu kuongea lugha fulani kwa vile tu anakiboronga, isipokuwa kama umeandika sitiari.

Aghalabu kukosea njia ndiyo njia yenyewe ya kujifunza. Usiache kujifunza katika maisha yako, kwa sababu maisha yenyewe hayakomi kutufundisha.
 
Sidhani kama ni sahihi kumzuia mtu kuongea lugha fulani kwa vile tu anakiboronga, isipokuwa kama umeandika sitiari.

Kukosea njia ndiyo njia ya kujifunza. Usiache kujifunza katika maisha yako, kwa sababu maisha yenyewe hayakomi kutufundisha.
Kurudia rudia kitu kunamfanya mtu kuwa mlemavu. Ni afadhali kwenda sehemu n kusema hujui English ili utafutiwe mkalimani, kuliko kwenda kuboronga. Kuongea kiswahili sio ujinga. Kuongea na kufikisha ujumbe ipasavyo ndio kitu cha muhimu kokote duniani, nje ya hili ni ubabaishaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…