Mimi nitajadili hilo la namba moja. Ningependa uwaweke hapa hao unaosema wamevisit profile lako, kwani mimi nikisema nikawaone hao watu basi mmoja atadrop kutoka kwenye list ya "the last ten visitors" na badala yake mimi nitaongezwa kwenye hiyo list, halafu utarudi kulaumu kwamba na mimi ninachunguza kitu gani huko !!!