Lyangalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2009 Posts 679 Reaction score 234 Apr 16, 2010 #1 Nimekuwa nikifuatilia vituko na vijimambo na taarifa zinazotolewa na CCM na baadae zinaanushwa ili mradi kunakuwa na mchanganyiko wa kutosha tu. Mara zote ninakuwa nafikiria thinking tank ya CCM ni kina nani? My be Kingunge na Tambwe Hiza?
Nimekuwa nikifuatilia vituko na vijimambo na taarifa zinazotolewa na CCM na baadae zinaanushwa ili mradi kunakuwa na mchanganyiko wa kutosha tu. Mara zote ninakuwa nafikiria thinking tank ya CCM ni kina nani? My be Kingunge na Tambwe Hiza?
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,933 Reaction score 5,394 Apr 16, 2010 #2 sijakuelewa bado unakoelekea