Third Graduation ceremony at St Joseph college of Information Technology:Hawa ndio vipanga wao

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,959
Reaction score
876
Agosti 1, 2012 kulikuwa na mahafari ya tatu ya chuo hicho.Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ndugu Emmanuel Nchimbi. Katika wanafunzi 19 waliohitimu watatu walipata First class.Wa kwanza alipata CGPA ya 4.7, wa pili 4.5 na wa tatu 4.4. Huyu wa kwanza alipewa laptop,cheti na ngao. Wa pili alipewa cheti ngao na vitabu na wa tatu alipewa cheti. Tunategemea wazitumie pia kwenye kazi ili ilete reflection nzuri ya GPA zao.
 

Attachments

  • Kapewa laptop.JPG
    40.5 KB · Views: 125
  • akionesha cheti.JPG
    38.1 KB · Views: 101
  • kipanga wa pili.JPG
    37.9 KB · Views: 93
  • kipanga wa 3.JPG
    38 KB · Views: 74
  • kapewa ngao.JPG
    35.2 KB · Views: 69
ukitaka korofishana na engineer yeyote ask him his GPA so big up kwa jamaa
 

big UP!!!
 
Saafi,ila kaonyesheni kwa vitendo hizo firstclass zenu,ata kama vipi muombe kwenye vyuo kama saut kama mata
 
Huyo wa 4.7 alikua anasomea nini??
 
Uzuri wa vyuo vya private bana upo kwenye G.P.A wala hawabanii!!
 

Mbona wabahili hivyo?wamempa "kilaptop kiduchu" au macho yangu!!!
 

kama ni cha dar huo uongo kwani leo tar 4 mwezi 8 2012 wamefanya graduu yao ya 4 na mgeni ramsi alikuwa mh.John Pombe Magufuli
 
mbona tarehe ya kwenye picha inaonesha ilikuwa tarehe 1 /8 / 2012.??
 


amesema leo .. na leo si tarehe moja ...

4th august ! ndio nilitaka ioneshe .. do you have any problem with that....?

Ndugu,hebu rudia kusoma upya vizuri,kwenye sentensi ya kwanza ya mwanzisha uzi.
 
Ndugu,hebu rudia kusoma upya vizuri,kwenye sentensi ya kwanza ya mwanzisha uzi.

nilikuwa na tatizo na heading yake ambayo imebadilishwa nadhani mods wamebadilisha but aliandika imefanyika leo!

 

4.7,4.5,4.4 ,kiini macho hiki! Chuo kinafanya biashara hiki hamna kipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…