Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
"If u do what is easy, ur life will be difficult and the vice versa is true". Wanasiasa uchwara wasiwadanganye kuwa watamwaga ajira Kama mvua, hawatatoza Kodi na Mambo yatakuwa mazuri kirahisi tuu. Tunahitaji kuambiwa ukweli mchungu na tunahitaji kufanya kazi kwa bidii na maarifa tukishirikiana na serikali ili kesho yetu na ya watoto wetu iwe nzuri.Fellow tanzanians, please watch this video and let it enlighten your mind.
Magufuli is leading our nation to the highest glory.
Amani Msumari
Tanga
View attachment 1587136
Yes. I know that u"ll never please human beings ndio maana nasema, Magufuli kanyaga twendeEven if Nyerere could lead this country once again they would still blame something somewhere
Blames never end
Kachukue buku 7 yako pale LumumbaYes. I know that u"ll never please human beings ndio maana nasema, Magufuli kanyaga twende
Sawa, hilo n jambo jema kutumia akili na kuingiza kipato. Buku saba napata chai ya buku, mchana msosi was buku Mbili jero na coca baridi na usiku msosi wa buku Mbili jero na kikombe Cha maziwa. Naweza pia kujibana nikatumia buku Tani buku Mbili nikasevu. Akli hoyeeeeeKachukue buku 7 yako pale Lumumba