Tanzania kisiwa cha amani bana pia ni wakarimu.Serikali imewarudisha wahamiaji haramu toka Ethiopia kwa ndege kwa gharama za serikali ya Tanzania. Maswali ya kujiuliza Je! Hizi fedha zinatoka ktk fungu gani?? Je nani anahusika na uingizaji wahamiaji haramu? Je anatimiza majukumu yake? Je mipaka yetu ni salama? Msinipe majibu.. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika