This is enough, shule zifunguliwe tu

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]
Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui nininini gonganisha hasi na chanya...[emoji848][emoji848]
Alipo niona tu, akainuka akenda room yake, hapo akaisahau sim yake pale kwenye Kochi. Nilipo ichukua naisoma naona amesevu majina ya ajabu kabisa, kuna mmoja wanaitana Wechu huyu ndio nimeona wana andikiana maneno yenye adabu ndogo tupu.
Sasa kwa hasira hapa nimetoka kidogo nimeenda sehem ndio nimeagiza sanitaiza ndogo (K-Vant) ili nichafulie kichwa kwanza Kisha nirudi anieleze vizuri, maana jana pia nilipotoka kibaruani nilimkuta amekaa sebuleni huku anapiga mluzi.
Juzi nilimsikia anapiga mziki sebuleni unaoimba K ni K, sasa kabla sijatoka chumbani akabadilisha akaweka gospel.
Hapa napanga nikirudi nitamlia taimingi moja nimtandike rungu la ugoko ili kwanza asikimbie ndipo nimuhoji, maana sitaki kumkimbiza yasije yakanitokea kama ya kipindikile......
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha utani bhana, khee...!
Au umekosea jukwaa baada ya kupiga sandinaisa..(sorry sijui nimchapia..!?!)
Mkuu, hazi mambo ni ngumu zaidi...[emoji52][emoji52]
 
Hivi Si ndio wewe uliepigwa ngwala na huyo kijana?,nadhani imebaki tu kijana kakutia makofi
Ndio mkuu, kuna siku nilikuwa naingia kwa nyumba nikasikia sebule nzima inatetemeka kwa lisauti la ajabu la nyimbo inaimba sijui Tango... nataka kula tango..... Alafu mwisho kuna limwanaume linamalizia Kata..kata...kataaa.....
Ile nabisha tu hodi, kijana akaanza kusikiliza tibisii wani na kipindi cha kutangaza vifo...
 
Kwanini mtoto wako / kijana wako ili uongee nae hadi mnywee K Vant?
Sanitaiza natumia kawaida ili kupoza koo baada ya uchovu deili...[emoji39][emoji39][emoji39]
 
[emoji3][emoji3]
 
mkuu pole....ila sikuhizi vijana wanazidi kuwa waajabu hivyo bijogoo vyao ni aibu kabisa hata kunyoa kijogoo kwa mbali hawawezi.....suruali ndo shida kabisa na wanapenda sana kuvaa kuliko kitu kingine....
 
mkuu pole....ila sikuhizi vijana wanazidi kuwa waajabu hivyo bijogoo vyao ni aibu kabisa hata kunyoa kijogoo kwa mbali hawawezi.....suruali ndo shida kabisa na wanapenda sana kuvaa kuliko kitu kingine....
Ndio huyuhuyu niliendanae shop kumnunulia nguo kwaajili ya kipaimara, cha ajabu akachagu jeans iliyo chanika kwenye magoti. Na ilikuwa inabei kuliko jeans ambayo haija chanika....[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Pia vijana hawajui kuwa tofauti kuna attract na kufanya uwe smart kuliko wengine....maana wote wanakimbilia kumyoa vijogoo,kuvaa jeans model, tshirt kali raba na buti za bei, wakati angeweza kuwa na code ya kitambaa mfano akapiga shati jeupe, suluari black sio model saaana inakuwa kawaida tu, mkanda brown na shoes brown hapo anakuwa ameoendeza kuliko mvaa jeans..sema hawajui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…