Unajua ukisoma comment za mtu na ppst zake mara kwa mara huwa kuna picha fulani inajengeka huyu mtu anaweza akawa ana mwonekano upi in real life
Unaweza ukawa karibu sana na ukweli au mbali.
Watu wengine unaweza ukawadhania wako hivi ukija kukutana nao tofauti
Hii ni for fun
Naomba tuitumie in good spirit
1. Brother Mshana Jr: Mi nikisoma post zako huwa na-imagine wewe utakuwa mtu kama huyu hivi. Ni sawa au nimeingia chaka?