This is From Me to You..........

Thanks MwanaJ1, mke wangu ana wivu sana nikisema luvn u inaweza kunicost bt ujumbe umefika...Happy Eater bi dada
Hata mimi naogopa kuachwa, japo roho inanisuta na kunitaka niseme " i love you MwanajamiiOne and wish u happy and enjoyable Easter". stay blessed.
 
Asante, ufufuo wa yesu ukaenda ndani yenu. Msifanye mioyo yenu migumu, lizzy ukiwa na imani ya kuvunjwa moyo basi ujue unaongelea past history siyo leo.

Ebu ondoa hilo shaka na mwambie yesu nitendee nipe boyfriend mwema, mume, etc. Atakupa ni mwaminifu.
 

Asante sana Caro...sitamwogopa mwanadamu tena!
 
Wandugu wapendwa,

Bado nautafuta wimbo huu hapa chini wa bibie huyu juu. Kama kuna mtu anao kwenye CD naomba sana sana kwenye MP3 ila iwe min. 192kbps na ntafurahi zaidi kama ni 320kbps - anitumie. Below that, THANKS maana ntaharibu JBL speakers zangu bure (Joking).
Midnight Express feat. Yvonne Chaka Chaka - Everyday Everynight


 
Last edited by a moderator:
sante my dear ..
na mie nakutakia kila la kheri na baraka zote
Hii Easter na mia zaidi zijazo .... Some Ester eggs for you .Enjoy
 
Dearest naogopa kupenda nisije nikavunjwa moyo...

MJ1 si wa kukuvinja moyo,am kweli ukishang'atwa na nyoka.......

naomba usiogope kupenda....penda tena sana....ukivunjwa moyo mara nyingi kama dearest wako....utakuwa strong sana na utapenda tu hata pale usipotarajia kupokea upendo....l.o.l


ila . . . . .
 
Mai beibe MJ1
Kristmas njema
(nisahihishe kama sio kristmas)
 
MJ1 si wa kukuvinja moyo,am kweli ukishang'atwa na nyoka.......

naomba usiogope kupenda....penda tena sana....ukivunjwa moyo mara nyingi kama dearest wako....utakuwa strong sana na utapenda tu hata pale usipotarajia kupokea upendo....l.o.l
Michelle,hapo kwenye red siafiki,mpende akupendae bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…