Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Apr 12, 2010 #1 Kutoka DailyMail.. UK
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,253 Apr 13, 2010 #2 I like this bro.!,,,Jeuri za nguoni hizo...Mamba kwani utafanzani hata kama hupendi na unanjaa?...😀
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,741 Reaction score 272 Apr 13, 2010 #3 Wahenga wanasema ukiwa shidani utakuwa tayari kumparamia hata mamba kama kwa kufanya hivyo utajiridhisha juu ya kuokoa nafsi yako.
Wahenga wanasema ukiwa shidani utakuwa tayari kumparamia hata mamba kama kwa kufanya hivyo utajiridhisha juu ya kuokoa nafsi yako.
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Apr 13, 2010 Thread starter #4 HIvi mamba akimla huyo atashiba au ataondoa tu udhia?
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Apr 13, 2010 #5 Mzee Mwanakijiji said: HIvi mamba akimla huyo atashiba au ataondoa tu udhia? Click to expand... Akimla hatoshiba bali atakuwa ametoa onyo kwa vijidudu visumbufu kama hivyo.
Mzee Mwanakijiji said: HIvi mamba akimla huyo atashiba au ataondoa tu udhia? Click to expand... Akimla hatoshiba bali atakuwa ametoa onyo kwa vijidudu visumbufu kama hivyo.