This is not a suicide note

Hiz muv za ufilipino znaharibu sana vijana tatizo hawataki kazi wanafikiri maisha ni mteremko. Kesho utaskia mwanajf mwenzetu katuacha...wanataka michango..pambafff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiz muv za ufilipino znaharibu sana vijana tatizo hawataki kazi wanafikiri maisha ni mteremko. Kesho utaskia mwanajf mwenzetu katuacha...wanataka michango..pambafff

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,comment yako imenifanya niongeze siku za kuishi.I am a normal person dealing with normal challenges.The problem is I think of death too much and in a curious way like may be after I die I will understanda the meaning of life,I will be able to fly freely I will be able to move accross medium and that kinds of drives me high.Otherwise I am just a normal guy dealing with normal challenges.No stress involved just curiosity
 
Inategemea maisha yako yakoje na uhisiano wako na Mungu Mwenyezi upo vipi. Kama unaishi maisha mabaya kiroho, basi yawezekana kabisa kwamba hisia za kufa zinatoka kwa roho za mauti (roho za giza), na lengo lake ni kukudanganya ufikiri kwamba ukifa utakwenda peponi kumbe roho hizo zinajua kuwa ukifa katika hali yako mbaya utakuwa mateka wao. Omba kwa Yesu Kristo msaada wa kuondokana na roho ya mauti na pia rekebisha maisha yako yamwelekee Mungu.
 
Hili ni suala la kiimani zaidi naona.ila kwangu ni curiosity.It is not about hell or heaven.Kuhusu uhusiano na Muumba wangu...tuliache kwa sasa
 
Mental disorder...
Tafuta msaada kwa wataalam (psychiatrists maybe)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nataka nijue jambo moja kwako. Je, uko katika hali gani katika maisha yako ya rohoni? UMEOKOKA? UMEYAKABIDHI MAISHA YAKO KWA BWANA YESU?

Kwa yeyote aliye vizuri rohoni, aliyemkabidhi Bwana Yesu maisha yake, huwa anajua ni wapi atakwenda atakapoondoka katika maisha haya ya duniani. Ni wazi kuwa maisha ya peponi ni mazuri na matamu kuliko haya ya hapa duniani.

Hali uliyo nayo huwa inawatokea watu wengi, mfano mzuri ni mtume Paulo aliyetamani kwenda kupumzika na Kristo. Imeandikwa: "Ninasongwa katikati ya mambo mawili., ninatamani kwenda zangu (nife) nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana, ..." WAFILIPI 1:23.

hivyo basi, kama uko katika muktadha huo, uko sahihi sana.

HUWEZI KUJUA UNAPOKWENDA NI PAZURI KULIKO ULIPO HALAFU USIPATAMANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I used to watch and read but kwa kweli the way najisikia ni kama vile kuna kitu kiko upande wa pili nataka kwenda kukiona.


Duh!..hebu fanya kujichanganya na wstu uwezavyo ikiwezekana safiri kbs utoke hapo...punguza mitandao na hizo season ...andika vile unavyotamani maisha yako yawe soma kila mara! Utaweza kuheal!pole
 
Duh,wakati wengine tuna ndoto ya kumiliki mademu mkali,majumba makubwa makubwa ya kifahari,magari ,pesa nyingiii...we unandoto ya kufa?kweli dunia uwanja wa fujo ila una matatizo ya akili,wahi hospitali..wakifeli unahitaji maombezi
 
Duh!..hebu fanya kujichanganya na wstu uwezavyo ikiwezekana safiri kbs utoke hapo...punguza mitandao na hizo season ...andika vile unavyotamani maisha yako yawe soma kila mara! Utaweza kuheal!pole
Ninajichanganya na watu sana,Ninasoma vitabu sana,ninasafiri sana,Haya mawazo yakgo nyuma ya ubongo wangu just behind the normal thought.Nikiyawaza najsikia vizuri sana.I feel rejuvenated and excited.Sijawahi kufikiria kujiu but I kind of like the idea of dying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…