Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Nzoka, wewe supporter wa Millwall FC nini?.... naona mambo ya kupigiana simu kwa ajili ya battle wayajua ati! lol..Hawa jamaa wamepinda akili. Sio mashabiki. Kuna wengine huwa wanapigiana simu kabisa wapigane wenyewe kwa wenyewe kabla au baada ya mechi. Damn, some peeps got weird hobbies.
Nzoka, wewe supporter wa Millwall FC nini?.... naona mambo ya kupigiana simu kwa ajili ya battle wayajua ati! lol..