This is not the best way to punish your wife.

Picha za hiyo fremu, fulana, na vitabu, ziko wapiii?
 
Huyo mwanamke anamjua mume wake ni mtu wa namna gani kwa nini acheat sasa...
Aiseeee kama ni mimi bora uniache tu sio kwa staili hiyo kwakweli!

Lo Vipi siku ukinikuta live napelekewa motro na njemba nyingine what will you do????????!!!
 
Nimependa huyo jamaa anavyomtesa huyo mwanamke kisaikolojia ila kwangu mimi msamaha wangu ingekua kutembea na mama mkwe ili roho isuuzike vizuri 😁
Sasa wewe si ndo ungedhihirisha ujinga wako na sababu ya mke kukucheat.

Mama mkwe!!!!
 
Hata kama aisee bora angemuacha tu kuliko kumdhalilisha na hilo lijamaa halijui tu hiyo picha itakuwa inamuongezea machungu kila uchwao na si ajabu siku moja akafanya kitu cha ajabu.
Usijitetee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…