This is not the best way to punish your wife.

Naona ukungu tu... Kwa picha nitapata kuwaza vizuri...


Cc: Mahondaw
 
Ukijua nitafanya nini, utatafuta mbinu za kujificha nisikukamate...
Alafu mimi nakuadhibu huku natabasamu...
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mimi siku nikikufuma bila chenga ujiandae kupiga 3some๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Venye unampelekea motro nakubinya kwenye ki mstari medula ikukae sawa kwanza ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!
 
Umekosa hata kapicha ka black n white?
 
Wanawake tunajituma sana tukiwa na michepuko sijui kwanini ๐Ÿค”
Yaani sijui wanatufanyaga nini....

Pole yake kabisa.
Hajui kujiiba huyo, anakamatwaje sasa?
Itakuwa nje alinogewa kiasi cha kuonesha dhahiri mumewe akaanza kufatilia ! Muda mwingine kuna wenye akili zinafyuse ujue anajisahau kabisa!

Aibu yamaisha hiooo na itamcost

Cc Smart911
 
Haitakaa itokee kudanganya mimi nipo open sana...

Ila tufanye ndiyo imetokea kwa bahati mbaya sana kwa kushawishiwa na nikajitahidi sana kupingana na miongozo ila ndiyo ikawa...
3 Some inategemea na mwanamke mwenyewe, hahahaha wengine unawezajikuta mnanyoshana mimi nipo pembeni na popcorn...
 
Naomba mwongozo wa foto ya kunyoshana nione kwanzaaaa si wajua mie kilaza wako nilivo kichwangumu kuelewa๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mi Nabutuaaaaa afu naweye tutasovu badae!๐Ÿ˜Š Na nilivo sijui kuongea sana alooooooooooo ntauaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mwanamke usipombutua hata mara 1, anamazoea machafu...
unaweza kuta kauza TV kanunua nyingine anayoitaka yeye
 
Nimeuza chogo, nimenunua flat.
Mbona ni jambo la maendeleo?
Ayayaaa tena kwa chogo...
Unajua umuhimu wa chogo? chogo inathamani sana kuliko flat, chezea flat usiniharibie chogo yangu...
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tunaenda na teknolojia bhana.
Ni kweli lakini ukiona mtu kang'ang'ania kitu cha zamani, tena ukute kinakuzidi hadi wewe umri. ujue anakipenda kuliko wewe mke wake๐Ÿ˜‚. Kama flat Nanunua ila chogo yangu usiuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ