This is not the best way to punish your wife.

Takaa, tasema, tagalagala, tamuomba... Hizi ta ta ta ta taaaa zinaharibu flow ya usomaji, sisi wasoma comment mnatupa shida kidogo, fanya kuzipunguza mkuu.😊
 
Ni kweli lakini ukiona mtu kang'ang'ania kitu cha zamani, tena ukute kinakuzidi hadi wewe umri. ujue anakipenda kuliko wewe mke wake😂. Kama flat Nanunua ila chogo yangu usiuze
🙌🙌🙌
Haya bhana.
Naona unavienzi vitu vyako
 
Huo ni ukatili mkubwa,alioa akijua ataila pekee yake.
Ile inaliwa nje inaoshwa ukiletewa mpya unailamba
 
Nimependa huyo jamaa anavyomtesa huyo mwanamke kisaikolojia ila kwangu mimi msamaha wangu ingekua kutembea na mama mkwe ili roho isuuzike vizuri 😁
Una siti yako mbinguni...............ila sasa mama mkwe wengine ni wabibi sana utafanyaje shekh wangu???
 
Takaa, tasema, tagalagala, tamuomba... Hizi ta ta ta ta taaaa zinaharibu flow ya usomaji, sisi wasoma comment mnatupa shida kidogo, fanya kuzipunguza mkuu.😊
Alafu we mwamba nilikua nakuheshimu sana huku jf... tangu mara yakwanza nasoma uzi wako wa rocket science manufacturing nikaona jamaa ni mtu na madini ila leo nakushusha vyeo mkuu
 
Unajua niliposoma comment yako hadi nikahisi labda simu atakua nayo shemeji kwa maana sijazoea kukusoma kwenye uandishi wa namna hiyo, talia, tasema takwenda ta ta ta ta ni nini hiyo?😂😂
 
Ahahahahaha nimecoment as if issue ndo imenikuta mimi so nikawa na andika kwa strong panic issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…