Kwenu wana JF wakongwe.
Nimekuwa nikisoma post katika jukwaa hili la
ujasiriamali kama Guest kwa muda mrefu sasa lakin nimeamua kujiumga kabisa ili nami niweze kufaidi vitu vingi zaidi kupitia JF hasa jukwaa la ujasiriamali ambalo kimsingi ndio lililonifanya kujisajili. Nawashukuru sana kwa mawazo yenu mazuri na ya kuelimisha. Nafurahi sana kuungana nanyi
Asanteni