Vipiii Dada mwenye mdogo hakosi shemeji huyo ni shemeji yakoAiseee
Asante baba yeyoo wa kwangu mm sasa utanichanganyia au unanichukulia upiNaachaje sasa kutuma? Ntakupa mrejesho
Kwahiyo na wewe unapenda churaBabu mbona una mnadi na kumfanyia udalali mjukuu kwa nguvu sana, kulikoni?
Chura wangu anakaaga ndani tuu.Wewe ni mjukuu mbaya,kutwa nzima kutembeza chura Dar nzima ndo nini!![emoji30][emoji30][emoji30]
Aiseee
Kwahiyo na wewe unapenda chura
Chura wangu anakaaga ndani tuu.
Asante baba yeyoo wa kwangu mm sasa utanichanganyia au unanichukulia upi
Cc Sakayo[emoji125][emoji125][emoji125]I love you too honey...
Am happy to have you as my friend and wife...
Happy Valentine's to you too....
Mwingine tenaaaVipiii Dada mwenye mdogo hakosi shemeji huyo ni shemeji yako
Babu ni wangu wa kufa na kuzikana bwana shemeji!!!Acha kabisa kuwa mchepuko wa Babu utakosa baraka na mambo mazuri mbele ya safari
Wivu sina ila roho yauma jamaniiiiiCc Sakayo[emoji125][emoji125][emoji125]
Mh mbona unaulizia chura wa mziguaMie nakupenda wewe, chura nimpeleke wapi Mamma Yeyooo?
KhaaaaaSasa Babu kampata wapi hadi kamleta JF?
Babu kwanini unatuma picha yangu?
Basi niletee wa kiponda tu peke ake mwekundu wenye pili pili baba yeyoo usichanganye na wa babu issaSubiria sapraizi Mama,
Una moyo !!huna jiwe mahaba yao nyumbani huko!Wivu sina ila roho yauma jamaniiiii
Dada jaman ndio shemeji yako piaMwingine tenaaa