Jana niliiona hii, ina kaukasi fulani, uhalisia wake mdogo sana, hasa nilipoona jina la Nasibu Abdul.
Hii itakuwa ni Ai generated kama zile za kina Steve Harvey na Denzel ikionekana wanahojiwa na Jimmy Kimmel, na wate wana brag kuhusu majumba na mali zao.