This is too excessive, or is it just me?

This is too excessive, or is it just me?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Dah!

Mpaka naona kizunguzungu.

Tengua teua hizi nyie mnaziona ni jambo la kawaida tu kuongoza nchi?

Ni mimi tu ninayeona zimezidi mno?

Au ni ujinga na upumbavu wangu ndo unanifanya nione hivyo?

Chaos? Normal? Stability?

Anywho, labda ni ukilaza watu tu ndo unanifanya nisielewe hayo mambo ‘makubwa’.
Matumizi mabaya ya madaraka pamoja na gharama kubwa kwa walipa kodi
 
Dah!

Mpaka naona kizunguzungu.

Tengua teua hizi nyie mnaziona ni jambo la kawaida tu kuongoza nchi?

Ni mimi tu ninayeona zimezidi mno?

Au ni ujinga na upumbavu wangu ndo unanifanya nione hivyo?

Chaos? Normal? Stability?

Anywho, labda ni ukilaza watu tu ndo unanifanya nisielewe hayo mambo ‘makubwa’.
Tunahitai kuwa na rais pale ikulu badala ya kuwa na mswahili na Uswahili mwingi
 
Tuliamini vijana wakishasoma ndio wataleta mabadiliko katika nchi..

basi tukawekeza sana kwao, tukawasomesha

mwisho wa siku wamekua waizi wakubwa na maadui wa maendeleo katika kila sekta ya maendeleo.

Acha watenguliwe
Sawa.

Lakini pia ni utaratibu gani huwa unatumika kuwapata hao watu?

Maana hakuna kabisa utulivu huko serikalini.
 
Back
Top Bottom