Si umesikia jamaa chogo anavyobonga kizungu ,mwanzo nilikuwa sifahamu anasema nini ,nimeirudia na kuirudia na kuanza kuokoteza nafikiri ni jamaa wa Tanganyika na sio wa Kenya. Ila lile jina lake sijui linapatikana wapi hapa Tanzania.
Ha ha ha unamkingia kifua jamaa yako ? Maana kizungu anachokizungumza sio cha pwani ni hapo katikati ya Tanzania na mipakani huko ,ni jamaa wa kibongo hata lile jina ni la kimasai. Au hapo unyamwezini 😀