leo ni "furahi day",so napoza kichwa yangu kwa kutazama music videos youtube.ratiba yangu ya kupiga siasa hapa JF inaanza monday na kuishia thursday.ume watch lakini hiyo ngoma ya wahu?,ni babkubwa.Vipi dogo, nilidhani uko bizi ukimfuatilia EL.
hahahha kuimba si kazi rahisi mkuu.naona sasa wameanza kuiga uimbaji wa wasanii wa tz.hakika kwa mbinu hii bila shaka wanaweza kuwashawishi ma-radio presenter wacheze ngoma zao kwa radio.sisi tulisha vuka huko.wenzao wameandamana huko Kenya kupinga mziki wao kutochezwa radioni! Haki ningekuwa radio presenter ningewapa ukweli wengi wao hawako talented watafute shughuli nyingine maana radio hucheza ngoma zinazobamba! :majani7:
hahahha kuimba si kazi rahisi mkuu.naona sasa wameanza kuiga uimbaji wa wasanii wa tz.hakika kwa mbinu hii bila shaka wanaweza kuwashawishi ma-radio presenter wacheze ngoma zao kwa radio.sisi tulisha vuka huko.
hata mimi sijaona ubaya.nimependa wanavyotuiga.:biggrin1: