Somehow nashindwa kuelewa kwa nini Italy imendelea. I mean hata kwa standard ya JKN kuwa ili tuendelee tunahitaji Arthi, Watu, Siasa Safi na Uongozi Bora. Sioni Italy kuwa na Siasa Safi lakini...kimaendeleo wako mbaaaaaaaaliiiiiiiiiiii...!!! Kulikoni