Diamond si mjinga kiasi asijue anachokifanya,ila ndo hivo SUPER STAR YAKE YOTE ANAYOYAFANYA LAZIMA YAWE GUMZO NA NDO MANA HATA KATOTO KAKE KAMEPATA UZAMINI WA MILIONI 50 NA KUVALISHWA BURE MWAKA MZIMA KITU AMBACHO AKIJAWAHI KUTOKEA TZ AU E.A KWA UJUMLA.kuna visanii kibao hakuna mwenye kujua wala kuhitaji kujua vitoto vyao wala mama zao ni akina nani na wala maisha yao kwa sababu si MASUPA STAA.