This is why all mama mean nothing to some people!

Evarm,siri ya kata ajuae mtungi mama!!
 
Bibi,hakuna kitu chochote kitakacho halalisha wewe umkimbie mwanao na usimtafute kwa muda mrefu kiasi hicho,japokuwa ninajua hakutendewa jambo lolote baya!
 
Wakumwitu,daah!Kweli nawe jembe,pole lakini maisha yanaendelea!
 
Kipipi,thanx much,tujifunze tusije watelekeza watoto wetu!
 
Chiminguru usijali,Mungu yupo kwaajili yetu!
 
Pole kwa yaliyokukuta. Naweza kusema kuwa sio kina mama/wanawake tu ndo wana hiyo tabia, nadhani hata wanaume pia wanayo tena kwa asilimia nyingi zaidi ya wanawake. Nakushauri tu jitaidi kumpenda mama yako na Mungu atakubariki kwani wewe utakuwa umetimiza ari ya Mungu ya kumpenda mama yako na utapata baraka nyingi katika maisha yak. Kwa kumsaidia mama yako, unaweza kukaa nae na kuongea naye vizuri akupe sababu za kukutelekeza. Kama hazina msingi basi mshauri atubu kwa Mola wake na wewe Mungu atakupa baraka mara dufu.
 
WALIMWEUSI,kwa sasa sina tatizo nae,hakua na sababu ya msingi alipofanya aliyofanya.Niliyajua hayo siku nyingi na nimemkubali kama alivyo!
 

dahhh, poleni sana....

...ila tumshukuru mungu kuwafikisha hapa mlipo,...
na imagine mama huyo badala ya kuhangaika na ujauzito, angekuwa a
nazitoa hizo mimba moja baada ya nyingine, au kuvitupa vichanga
kama walivyo wanawake wengine.

...kuna sababu nyingi zilizo nje ya uwezo wetu kung'amua inakuwaje mama mzazi anachukua maamuzi
makali na magumu kama hayo. Kuna siri kubwa sana iliyofichika hapa, na haswa kama mama huyo amedumu
kwenye ndoa nyingine na kuwa na familia nyingine.

...kuhusu kina baba kukimbia watoto mnh...
utetezi wa hili hauingii akilini, unless alijiaminisha watoto si wake.
 
Pole kamanda aisee!
Pia kuna ile mama anamnyima mtoto wake lishe bora ili asevu apate hela ya kwenda saloon,nyambaaaf! juzi tu nimemkosa mkono waifu wa braza kwa uzembe kama huu.

Mood: hapa nimeongea kwa hasira kweli
 
Mbu,kabla hujafanya lolote unatakiwa uangalie madhara kwako,wanaokuzunguka,sio kufanya tu,hata kuwe na jambo kubwa namna gani hakuna uhalali wa aina yoyote kuwaumiza wasiohusika,sisi hatukuhusika na jambo lililokuwepo(japokua najua halikuwepo)sasa iweje watutese?
 
Krolo,daaaah!Kweli una hasira,sasa bro angekuelewa kweli?
 

si peke yako hata afande sele nahisi alimuimba kwenya mkuki moyon, pole sana.
 
Pole sana mkuu! Aisee sijakutana na hii kitu na sitaki ije itokee kwangu, mweeeeeeee!
 
Kweli mipango mji,umenikumbusha mkuki moyono ya afande sele!
 
Ndoyo,muombe sana Mungu akuepushe na waepushe wanao pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…