Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Lol .. chief experience yangu inaangukia kwenye maoni ya mtoa mada yupo sahihi kabisa .
Inawezekana ukawa na maoni tofauti. Ukiwa ndani unatamani kutoka nje ukitoka nje unatamani kurudi ndani. Bora kuwa moto au baridi kuliko neutral.Lol .. chief experience yangu inaangukia kwenye maoni ya mtoa mada yupo sahihi kabisa .
Kwema lakini !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha bora kuwa neutral mkuu " ... lakini wakati huo huo unakuwa makini " ili interest zako zisije kusababisha maumivu yatakayo pelekea kuharibu maisha ya watu wako wa karibu wanao kuzungukaInawezekana ukawa na maoni tofauti. Ukiwa ndani unatamani kutoka nje ukitoka nje unatamani kurudi ndani. Bora kuwa moto au baridi kuliko neutral.
Kwema mkuu, mishe ni gani pande hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mishe poa tu mkuu "Inawezekana ukawa na maoni tofauti. Ukiwa ndani unatamani kutoka nje ukitoka nje unatamani kurudi ndani. Bora kuwa moto au baridi kuliko neutral.
Kwema mkuu, mishe ni gani pande hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha wewe uncle ana kuhusu nini wakati mtu uko abroad unakula tu bata !?
Hahahaa wote tunaisoma namba. Home sweet home mzee. Nikikumbuka supu ya Kuku wa kienyeji hapo ndio shida ilipoHaha wewe uncle ana kuhusu nini wakati mtu uko abroad unakula tu bata !?
Au ndio watucheka wabongo kijanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa lol ", kwahiyo umechoka kula piza !?Hahahaa wote tunaisoma namba. Home sweet home mzee. Nikikumbuka supu ya Kuku wa kienyeji hapo ndio shida ilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka nimechoka kinyama. Nimemiss sana bongo ila kurudi ndio mtihani. Uncle anawaza kukupiga pini
Haha yaani wawaza kurudi huku !? Umerogwa au ... hebu nipe hints mimi nijiondokee zanguKaka nimechoka kinyama. Nimemiss sana bongo ila kurudi ndio mtihani. Uncle anawaza kukupiga pini
Sent using Jamii Forums mobile app