OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View attachment 681016
Najiuliza hii ni Young Africans au "Yanga Afilika"?! Na leo mkifungwa au droo tunawafukuza Dar es Salaam
Ligi kuu ya Vodacom yenye timu 16 msimu huu kuna mechi 30 mpaka ligi iishe....zimechezwa mechi 13 na bado mechi 17 kwa maana bado pointi 51 zinazopiganiwa..Simba inayoongoza ina pointi 29 na Yanga ambayo ni ya tano ina pointi 22...kumbuka bado mechi 17 kuchezwa....tafakari
Umechek soka la leo la Yanga. Masikini........nimemsikia Nsajigwa anatia huruma anasema kiukweli timu imecheza fyongoUnatwanga maji kwenye kinu Mkuu. Siku wakiongoza ligi inakuwa shida mjini. Tumewazoea na kelele zao.