This picture says it all!!



Mkuu Polehii ndo Tanzania, Majuzi nilikutana na askari mstaafu nilisikitika sana, Jinsi alivyochoka, nikakukmbuka zile enzi ............, inatia Huruma . Kumbe nchi hii kustaafu kunatisha sana. Uzee noma mwanangu. unachoka kweli.
 
duh kustaaaafu ni ishu nzito kwa wa tz we si unaona wengine wanaongea peke yao mabarabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…