Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief Adam Sapi Mkwawa ndie alikuwa first speaker of Tanzania after independence.Erasto Mang’enya was the first Speaker of Tanzania after independence
Ni kweli mkuu Mang’enya wa 1973-1975.Chief Adam Sapi Mkwawa ndie alikuwa first speaker of Tanzania after independence.
Mang'enya alikuja kuwa speaker baadae 1973-75.
Rejea List of Speakers of the National Assembly of Tanzania - Wikipedia
Dah nyerere amekanyaga oval office jpm hatafika mileleView attachment 1050355
John F Kennedy, Julius K Nyerere, Oscar N Kambona and Erasto Mang’enya they had a meeting in the Oval Office.
Erasto Mang’enya was the first Speaker of Tanzania after independence.
Hiyo haina tija ni kama kufika ofisi ya dc wa kisaraweAmefika ya Rwanda
Duh!yamekuwa hayo😅Hiyo haina tija ni kama kufika ofisi ya dc wa kisarawe
Tanzania sijui kama itakaa ipate rais anayejiamini kama alivyokuwa Nyerere.
Ukiangalia aina ya ukaaji wake hapo utajua kabisa ni mtu anayejiamini. Mtazame anavyomtazama mwenyeji wake.
Huyu mzee alikuwa kichwa sana. Halafu hakuwa hata na PhD.

HIYO ni posture (kuvunja nne) na kumwangalia anayeongea naye ni eye contact is most essential katika communication skills (stadi za mawasiliano)
Tanzania sijui kama itakaa ipate rais anayejiamini kama alivyokuwa Nyerere.
Ukiangalia aina ya ukaaji wake hapo utajua kabisa ni mtu anayejiamini. Mtazame anavyomtazama mwenyeji wake.
Huyu mzee alikuwa kichwa sana. Halafu hakuwa hata na PhD.
Hahahaaa mkuu Mungu anakuonaNdugu Erasto Mang'enya leo hii kuna mgogo anaitwa Ndugu-egg anakalia kiti chako anatia aibu. Anachapa wenzake na kirungu cha muarobaini mpaka wanazirai.
Fanya umtokee hata kimizimu umfinye yale mashavu yaliyoumuka atie akili. Amen
Mungu anakuona.dc wa kisarawe