joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: This is Tanzania, the land of Nyerere, the country full of peace, love, unity and tranquility. Viva Tanzania vivas!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakatae au wakubali lakini Tanzania itabaki kuwa mfano wa kuigwa hapa AfricaHii kweli sio Kyela? Hizi ndizo siasa napenda kuona
Subiri matusi na hasira za wakenya zitakavyokushukia kama mvua [emoji23][emoji23]tz ni nchi ya kila mfano wa jambo jema duniani.
ukikaa na wageni hawasiti kukwambia tz bana ina binaadamu wa ajabu sana.
kuna dada mkenya alikuja kwa jirani yangu anasema anashangaa bongo mtu anaamka kwenda kusalikia tu kwa jirani yake[emoji38][emoji38],wakati wao kule wako wanakimbizana na muda,sijui ni kwenda wapi sasa!!!!
i) Mko na mda ya kusalimia jirani kwa sababy hamna kazi za maana, kazi zenu ni kuvuta mikokoteni ya machungwa na nyanya zikipakiwa kwa malori ziletwe kenya, huku mkenya akiwa amewasimamia.tz ni nchi ya kila mfano wa jambo jema duniani.
ukikaa na wageni hawasiti kukwambia tz bana ina binaadamu wa ajabu sana.
kuna dada mkenya alikuja kwa jirani yangu anasema anashangaa bongo mtu anaamka kwenda kusalimia tu kwa jirani yake[emoji38][emoji38],wakati wao kule wako wanakimbizana na muda,sijui ni kwenda wapi sasa!!!!
Sema hakia nani Mkenya?i) Mko na mda ya kusalimia jirani kwa sababy hamna kazi za maana, kazi zenu ni kuvuta mikokoteni ya machungwa na nyanya zikipakiwa kwa malori ziletwe kenya, huku mkenya akiwa amewasimamia.
ii) Mumetushinda kwa uchawi na ushirikina tu!!
i) Mko na mda ya kusalimia jirani kwa sababy hamna kazi za maana, kazi zenu ni kuvuta mikokoteni ya machungwa na nyanya zikipakiwa kwa malori ziletwe kenya, huku mkenya akiwa amewasimamia.
ii) Mumetushinda kwa uchawi na ushirikina tu!!
Why such bitterness!!!?
😛 😛 😛