This terror menace is slowly and steadily eating up peaceful Tanzania-Yassin Juma

This terror menace is slowly and steadily eating up peaceful Tanzania-Yassin Juma

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
This terror menace is slowly and steadily eating up peaceful Tanzania. Seven killed including officers and weapons stolen by Alshabab linked gunmen at a Dar Es Salaam police station #Tanzania-Yassin Juma
 
Poleni Sana ......condolences to the bereaved families.
 
But isn't dar the capital???

They could never handle a Nairobi police station labda zile kwa border hebu WATZ mjichunge kama watakuja capital yenu na wauwe polisi wakiingia DSM kuna watu wata survive
 
Gunmen kill seven in attack on Tanzanian
police station
Mon Jul 13, 2015 3:41pm BST
DAR ES SALAAM (Reuters) - Gunmen killed
seven people and seized weapons and
ammunition in a raid on a police station in
Tanzania's commercial capital Dar es Salaam,
police said on Monday.
The attack took place on Sunday night near
Tanzania's main airport. "A group of unknown
people shot dead four police officers and three
civilians at the police station," Ernest Mangu,
Tanzania's police chief, told journalists.
He said the assailants had posed as civilians
seeking assistance. Police were yet to
establish who was behind the attack and to
work out their motive.
Unknown attackers have been seizing weapons
such as sub-machine guns in a series of raids
on police stations across Tanzania over the
past few years.
Tanzania has not seen any significant militant
attacks lately, but security forces in east
Africa are on alert following a spate of strikes
by al Shabaab militants, especially in Kenya.
(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing
by Mark Trevelyan)
Email Article
 
Unknown attackers have been seizing weapons
such as sub-machine guns in a series of raids
on police stations across Tanzania over the
past few years.

Hii inatisha sana
 
Mungu atuepushe kwa kweli. Though the govt inapinga kuwa matukio haya hayana uhusiano wowote na al shabab lakini mnh! to say al shabab or their affiliates are not in TZ ni kujidanganya. Sema you cant trouble trouble before it troubles you.
 
But isn't dar the capital???

They could never handle a Nairobi police station labda zile kwa border hebu WATZ mjichunge kama watakuja capital yenu na wauwe polisi wakiingia DSM kuna watu wata survive
Tumezoea amani sana mpaka tukakamatwa unawares. Sijawai kuingia anywhere in Dar nikasearchiwa. Labda ikulu tu na ubalozi wa marekani. Nairobi hata supermarket tu unakaguliwa. Defence spending ya serikali yenyewe huwezi compare na ya Kenya. I pray Dar keeps up that level of peace so rare in EA!
 
Poleni sana ndugu zetu ila askari wenu wajiandae vilivyo kwa yatakayotokea baadaye
 
Hapa pabaya kama hawa ni magaidi basi hali ni tete sana. Watz wajazoea kushambuliwa na magaidi kama wakenya ambao sasa wamekuwa sugu wa maisha hawatishiki
 
Now u know why it is tricky preventing the attacks on civillian areas from such attacks. Hili lingefanyika Kenya, mngeona wakibeza jinsi vyombo vya usalama huku ni dhaifu. Ati wanabeza hadi KDF juu ya mashambulizi iliyohusisha raia.

My condolence lakini kwa haya yaliyotokea.
 
But isn't dar the capital???

They could never handle a Nairobi police station labda zile kwa border hebu WATZ mjichunge kama watakuja capital yenu na wauwe polisi wakiingia DSM kuna watu wata survive

Hata hapa Kenya Capital wakitaka tu wanapata Ingawa wengi watakufa pale pale. Tofauti na TZ ni Kuwa Commecial capital Iko pwani
 
Tumezoea amani sana mpaka tukakamatwa unawares. Sijawai kuingia anywhere in Dar nikasearchiwa. Labda ikulu tu na ubalozi wa marekani. Nairobi hata supermarket tu unakaguliwa. Defence spending ya serikali yenyewe huwezi compare na ya Kenya. I pray Dar keeps up that level of peace so rare in EA!

Poleni sana mkuu. Na Mungu awaepushe na hawa waabudu mashetani. How come sijaona discussion juu ya jambo hili kwenye JF? Solution iko zaidi ya defence spending. Wakianza tu hivi na nchi za magharibi zianze mambo ya travel advisory, basi wawekezaji katika sekta ya Utalii wajitie maji kichwani.
 
Haijaongelewa sana kwa sababu akili za watu bado ziko kwenye siasa za uchaguzi ujao (Edward Lowassa et al). But if only people could wake up to the stark reality!
 
Mimi nimekuja kuelewa kuwa inakuwa vigumu sana kwa mtanzania wa kawaida kukubali hali ilivyo na kuchukua tahadhari..nilishangaa wengine kuwaita hawa vibaka wa kawaida ama majambazi..kibaka gani anaweza kuwa na moyo wa kuvamia police station na kuuwa kwa minajil ya kuiba bunduki..kwa nini asinunue bunduki kwa urahisi mipakani,hawa ni magaidi wanaotafuta sababu ya lazima kuishambulia TZ hasa wananchi,, poleni sana ndugu zetu ila pia nyinyi muache kudharau askari wa Kenya eti wazembe
 
Back
Top Bottom