This thread should be changed to Tanzanian news

Bila kuingiza wakenya kwa chochote wanachofanya huwa wanajihisi wamekosa kitu. Tanzania, kichwa cha mwenda wazimu.

Acheni hizo jirani, kule kwetu kwengine kunakuaga boring ndo maana tunakuja huku...lol

Same Sh!t different day.
 
Acheni hizo jirani, kule kwetu kwengine kunakuaga boring ndo maana tunakuja huku...lol

Same Sh!t different day.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kweli? Kwahivyo Kenya news inareflect reality kama ilivyo? Things are always happening in Kenya. Ngoja usikie kesho mwingine kadandia chopper ya polisi.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kweli? Kwahivyo Kenya news inareflect reality kama ilivyo? Things are always happening in Kenya. Ngoja usikie kesho mwingine kadandia chopper ya polisi.

Hahaha!, kwa kweli cos vituko haviwaishi! πŸ˜€
 
Humu ni banda la kuku letu hamuelewi mkitaka tusije labda tuchinje kuku wote tutakua hatuna haja ya kutembelea banda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…