This time tomorrow

This time tomorrow

kiss9

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
55
Reaction score
34
"They are hearding us like cattle.Where shall i go now tonight?Where shall i be this time tomorrow?
Wabobezi wa kutunga na kuleta maana je tunaweza kujikumbusha maudhui kama hayo kwa zama hizi?
 
"wanatupeleka kama ng'ombe. Wapi pakwenda sasa? wapi nitakuwa wakati kama huu kesho?- tafsiri isiyo rasmi! Ngugi anajaribu kuelezea kwa ufupi lakin kwa HERUFI KUBWA, matatizo ya kiuongozi ya post- independence. Kuitafakari na kuangalia deeply, ndivyo tunavyofanywa sasa!
 
Nilikuwa napenda sana vitabu sijui kwanini sikusoma arts . Btw karibu sana kiss9
 
"They are hearding us like cattle.Where shall i go now tonight?Where shall i be this time tomorrow?
Wabobezi wa kutunga na kuleta maana je tunaweza kujikumbusha maudhui kama hayo kwa zama hizi?
Hapa ndio umetambulisha nini? Moderator Uzi huu uhamishiwe jukwaa la lugha
 
Back
Top Bottom