This 'Wet lips' look is driving me banana's.

mimi jamani napenda mwanaume mrefu, yaani nachanganyikiwa kabisa namwangalia weeeeeeeeeeeeeeee mpaka apotee machoni mwangu
 
We acha tu kuna mwingine namjua yeye ugonjwa wake vidole

Mimi ugonjwa wangu....ni staili fulani ya kutembea hivi...
Mwanamke anaetembea kama kajinyea hivi.....huwa nakuwa mgonjwa hivi....

hahah boss wewe mwisho .....kama kajinyea! mmh

niliwahi kukutana na jamaa mmoja anaependa masikio ya wanawake ......mmmh.

I like lip gloss that glitters..when I see a woman with shiny lips....carrying a chic bag like Hermes, wearing 4 inch heels and strutting like Naomi Campbell, wearing Marc Jacob shades...oh man....I go bonkers.

Ikiwa una dalili moja kati ya hizi hapa juu bila shaka una matatizo na unahitaji msaada wa kisaikolojia, kwa jina la kitaalamu nyinyi munaitwa PERVERTS
 
Wewe kama hakuna kitu kinachokuvutia kutoka jinsia iliyo tofauti na yako basi wewe ndio mwenye matatizo kuliko na unahitaji kwenda kufanyiwa uchunguzi.

Halafu hata kuandika kwa tahajia sahihi hujui. "Munaitwa" ndio lugha gani hiyo?
 
Unaweza kuvutiwa na usanii wa Mungu na jinsi alivyoumba kiumbe chake mfano umbo, hakuna tatizo kwa hili, ila endapo unapata mfadhaiko kwa sijui lip gloss, begi la hermes ama hamsini hamsini mia utambue hilo ni tatizo.
Wiki endi njema mkuu.
 
I like lip gloss that glitters..when I see a woman with shiny lips....carrying a chic bag like Hermes, wearing 4 inch heels and strutting like Naomi Campbell, wearing Marc Jacob shades...oh man....I go bonkers.

Kumbe inaitwa lip gloss asante mkuu naona tuna ugonjwa mmoja hata kwenye high heels kuna wale wadada utadhani ana-glide yaani ile effortlessly nawazimia sana.
 
Ikiwa una dalili moja kati ya hizi hapa juu bila shaka una matatizo na unahitaji msaada wa kisaikolojia, kwa jina la kitaalamu nyinyi munaitwa PERVERTS

Sidhani kama kuna any perversion hapo tunapenda tu sio kunawasumbua au kuwa-stalk.
 
yani mkuu kila mtu kuna kitu kinam-drive crazy kwa jinsia nyingine..sasa mhimize mamsapu apake hiyo lipshine unayoipenda ili umwangalie kila wakati,ha ha
Mie kifua hoi, nitamuangalia mkaka mpaka ashindwe kuelewa.siyo baunsa lakini..

Wife anajuwa na anapaka tatizo nikienda kwenye ofisi zingine dada lips zinang'aa anajaribu kunielewesha kitu mi kila mara 'what did you say'?
 
Umenikumbusha yule mwanamama mke wa mtu aliyempenda muuza kahawa kwa sababu tu ya jinsi vikombe vyake vinavyotoa mlio(vinapo gongana) wakati akitembea
Ndibalema umeniacha hoi.....mlio wa vikombe vya kahawa tu?!! I know of women ambao wakisikia mlio wa machine ya kunyolea wanachanganyikiwa , hawa ni wale waliojizoesha vibrators na masex toys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…