This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

Dodoma maeneo ya Kibaigwa unaingia ndani vijijini huko mwendo wa saa moja hv kwa bodaboda.Nililima sehemu i naitwa Maliti.
-Kama unataka kuunganishwa kwenye group la Wadau wa Alizeti Hysun33 kwa kujifunza zaidi pamoja na kupata ushauri mzuri wa wataalamu drop your number nimwambie admin akuunge
 
Nashukuru sana mkuu. Nimekucheki PM tutazidi kuwasiliana.
 
Sawa mkuu mm naamini Mungu yupo na naamini atalinda shamba langu.

Wachawi watakaokuja kuloga nawakaribisha sana. Watakaologa mvua isije nao waje tu. Mungu ni mkubwa kuliko sisi wote.
Naomba ushauri wa Kijana usiuchukulie mzaha, Mungu anasaidia ila katika mambo haya ......
 

mkuu naona maeneo ya Msata pia Hysun 33 inakubali sana. Nimejaribu kulima japo kwa kuchelewa lakini zimekubali sana. Nipe soko mkuu.
 
Mkuu add number hii mimi niko dodoma njia ya kwenda kiteto +971555088703 nalima maeneo hayo
 
Vp Vp Kwa msata ulipata mavuno kiasi gab
 
Nashauri ungelima angalao sh hk 20 sbb alizeti hazina uhakika wa kupata kipato kama vile unavyofikiri. Nina uzoefu kidogo na hilo Zao ndugu yang.
 
Wakuu mwenye tips zaidi katika kilimo cha alizeti tunaomba tafadhali.

-maeneo alizeti inastawi vizuri
-Mbegu
-mchanganuo wa gharama
-changamoto zake(magonjwa, wadudu)
-masoko

Mwenye kujua tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…