This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

mk

mkuu niunge kwenye hilo group kwa hisani yaako pls 0774272617
 
Mwenye kuhitaji mbegu ya Hysun 33 kwa bei ya punguzo anicheki pm.1kg Tsh 30,000 badala ya Tsh 35,000.Wahi mapema ,Nina Kg 15 tu zimebaki
 
2.Kwa ekari 40 hiyo cost yako ya 5M bado ipo chini
Nilitaka kumuambia hiki kitu.
Haiwezekani kwa zao lolote hekari 40 kulima kwa gharama za Tsh 5M.
Pia hapo kwenye gharama uongeze za kuvuna, usafiri, ukamuaji n.k.

Kwenye mavuno pia uangalie changamoo za ndege na wadudu wengine waharibifu.
Kufukuza ndege nayo ni gharama kubwa kidogo, au kutega sumu kuuwa panya na jamii yake.

Kulima kwa kutegemea mvua tu ni bahati nasibu kubwa, hiyo ni kamari kama betting game.
 
Kitu kingine muhimu sana zingatia kununua mbegu zilizo thibitishwa(certified) toka kwa taasisi maalum za uzalishaji na usambazaji mbegu zilizothibitishwa na serikali.
Kununua toka kwa wakulima wenzio ambao mbegu zao ambazo hazijathibitishwa ubora unaweza kujikuta unanunua mbegu duni au sio zenyewe.

Kuhakikisha unazingatia (maintain) ubora wa mbegu baada ya kuzipanda first generation (F1) ni kazi ngumu sana,
Wakulima wengi hasa waswahili wasio kuwa na elimu kubwa au elimu ya kilimo cha kitaalamu huwa wanapuuzia vitu vingi sana. Kwa hivyo hizo mbegu toka shambani kwao sio Hysun 33 F1.
Hizo mbegu za kutoka kwa wenzio tunaita za kukamua sio F1 tena, zinakuwa na magonjwa mengi, mazao machache, zinatoa mafuta pungufu.
 
Mwenye kuhitaji mbegu ya Hysun 33 kwa bei ya punguzo anicheki pm.1kg Tsh 30,000 badala ya Tsh 35,000.Wahi mapema ,Nina Kg 15 tu zimebaki
hivi hii mbegu ukiipanda unaweza rudia tena baada ya mavuno?
 
Mkuu check inbox yako
 
Vipi kuhusu hilo soko mkuu utapata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nalima maeneo ya kijungu na nina mpango wa kulima ekari 20 za alizeti na nimeambiwa mbegu ya hysun33 ndo nzur naomba ushaur wenu na msimu wa kulima huko ni january
 
Naomba msaada kidogo mm nina mpango wa kulika alizeti ila naskia ndege wanapenda sana hili zao mnawezaje kueafukuza ndege naombeni msaada kwa wenye unusi na hili swala
Uwe shambani asubuhi kabla ndege hawajaamka na jioni kabla hawajarudi..

Uwe na dumu au bati ukiwaona piga piga ili yatoe makelele..

Ndege wanaogopa kelele..

Na pia tengeneza vitu kama watu shambani uwe unawahamisha ili wasikariri

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau!
-Kuna mtu yoyote amelima alizeti mbegu ya Hysun 33 msimu huu?
-Kama yupo/mpo mnaweza kuleta ushuhuda wa matokeo mliyopata ili na wengine wajifunze.
-Pia kama una matarajio ya kuvuna kiasi kikubwa,soko la uhakika lipo,nitakuunganisha na wadau.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kweli nimeamini kuwa watu huwa mnalima kwa maneno.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tunaomba mrejesho kama ulifanikiwa kulima, tutiane moyo ila pia tujue changamoto na sisi mwakani tujitose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…