“This woman has been cheating on me for the past 17 years or so"

Mhhh! Kaunga mwili huu sidhani kama hata ukiwa na nguo unapendeza...kajiachia mno!!!

I know, ila akiwa amepiga say mavitenge inakuwa nafuu kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Wamempakazia tu huyo mama. Hakuna mwanamke anayecheat hapa duniani kwa sababu wanawake ni viumbe wema sana wenye uadilifu imara na uaminifu thabiti kwa waume zao.

Ni kweli kabisa NN na wale wanaume wanao cheat huwa wanacheat na wanaume wenzao sio wanawake!!!
 

Aisee yani ni mnene mpaka amekosa size ya pichu au mbwembwe tu kuvaa bukta.. Siku nyingine waende viwanja vya maana hata mfumaniaji hawezi kukuvamia tu chumbani kienyeji kienyeji, mnaibuka kufumania mnaishia reception tu mnaambiwa ngoja tumpigie simu mhusika kaeni lounge mumsubiri wewe huyooo lango la nyuma.. Hilo sio chimbo kabisa ebu cheki kwanza dressing table yenyewe sijui mpingo then kila draw ni aina ya mbao tofauti mpodo, saplasi. Kitanda 3x6 godoro limechomoka kwa pembeni kusaka oxygen na hapo juu sijui azam cola hiyo na take away ya steers.. Na huo mwili kawastahi tu ilikuwa kabali moja tu huyo mume anazimia..
 
Mmmh jamani unene mwingine!?hapana aisee bora niendelee kubaki mwembamba!
 
aibu hizi..shetani m-baya kweli!!huyo mdada ataficha wapi uso wake maskini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…