This woman is useless

Kwani nan haendi abroad? aliokwambia kwetu kuna corona Kama Kenya ni nani?
Swali la kijinga sana hili. Sasa wewe una utoto wa aina gani kufikiria kwamba TZ hakuna corona? Kwani nyinyi mumetengenezwa kwa mbao wakati sisi wengine tumetengenezwa kwa nyama?
 
People are dying in Tanzania. That is a fact. Whether they want to lie about it is up to them.

Tell me exactly, with vivid cases, which country her people are not dying!!!?
 
Tanzania is the one lying about it. Kaiulize serikali yako mbona inahadaa dunia kwamba hamna corona?
 
Acha uongo.
Na nyie wazee wa pimaaaaa pimaa pimaaaaa pimaa weeee mmeishia wapi? One would think you could stand out of crowds.
 
Wazee wa kuaga kwa corona na kujifanya kwamba ni pneumonia mna matatizo ya akili.
 
Kwani nan haendi abroad? aliokwambia kwetu kuna corona Kama Kenya ni nani?
🙈🙉Unataka kusema Dunia nzima Kuna Corona alafu TZ hakuna,Kwanza usinikumbushe mambo ya kukunywa Vitunguu,Tangawizi na ndimu,Maajabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cheza ngoma kulingana na mlio wake Mkuu,ukicheza tofauti utaharibu utamu wa ngoma.
 
🙈🙉Unataka kusema Dunia nzima Kuna Corona alafu TZ hakuna,Kwanza usinikumbushe mambo ya kukunywa Vitunguu,Tangawizi na ndimu,Maajabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani halafu korona yenyewe ikaamua kumwangusha brigedia mwenyewe mwenye kuongoza maasi eti hakuna korona!.. 😮
 
Magu is the most stupid president to ever exist.

At least we can say Kijeketile Ngwale caused Maji Maji rebellion due to limited knowledge about the world then...
but magu ilikua plain stupidity and ignorance kuhusu corona
 
Ujuha sana halafu wanalaumu Kagame na Museveni kwa kutohudhuria misiba yao ya kujitakia.
 
Magu is the most stupid president to ever exist.

At least we can say Kijeketile Ngwale caused Maji Maji rebellion due to limited knowledge about the world then...
but magu ilikua plain stupidity and ignorance kuhusu corona
Ever since I learnt about the Maji Maji rebellion in primary school I have always seen Tanzanians as fools . I know its harsh but Magufuli just made my view of Tanzanians as fools even stronger. All that information and still they managed to make themselves look like idiots infront of the whole planet.

Ati juice ya kutibu corona. What BS. It makes me feel sad to be an African.
 
Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa. [emoji1541][emoji1541][emoji1541]

May be she will come up with some explanation..!!!
 
She is a low IQ individual. Anatuaibisha sisi Waafrika. Wakati wa uongozi wa Magufuli watu wajinga kama hawa walikuwa wanapewa nafasi kubwa za kiserikali ili kudanganya wananchi. A bunch of nincompoops being given seniour govt positions.
 
That perfectly sums up the profile of this nincompoop who happens to be a medical doctor.
She is a low IQ individual. Anatuaibisha sisi Waafrika. Wakati wa uongozi wa Magufuli watu wajinga kama hawa walikuwa wanapewa nafasi kubwa za kiserikali ili kudanganya wananchi. A bunch of nincompoops being given seniour govt positions.
That perfectly sums up the profile of that dimwit. It is unfortunate that she also happens to be medical doctor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…