Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
The people who are lazy by nature ndo wanaenjoy cake ya taifa na kula maisha maisha mazuri.
Hebu imagine waliosoma arts ndo wanakula Bata walioeoma sayansi wanaugulia umaskini.
Mfano Dkt. Tulia Ackson kasoma arts, Tundu Lissu kasoma Arts, Kabudi kasoma Arts, Mwigulu Nchemba kasoma Arts, Ndugai kasoma Arts, Kassim Majaliwa kasoma Arts, Rais Samia kasoma Arts, Prof Juma, Jaji Mkuu kasoma Arts, Kibatala kasoma arts. Yaani walioeoma ngwini au msuli bed ndo wanaenjoy maisha
Angalia watu wenye akili waliosoma sayansi kama akina Muhongo, Mwandosya, Meakyuea nk life yao ikoje.
Hivi hii dunia ukiwa hard-working unakufaga njaa?