Mie b4 kuangalia hii thread, wakati nacheck leo ippmedia, then nilipoclick Thisday, nikaona lipo down, assumption zangu za awali zilinijia kuwa huenda tatizo liliikumba web ya ippmedia, basi imezikumba na sister webs...kuanzishwa kwa hii thread huenda tukajua mengine yaliyonyuma ya pazia.