Thobias Kifaru: Mtibwa tuna hali mbaya, tunahitaji maombi. Adai wanaweza kupotea ligi kuu msimu ujao

Thobias Kifaru: Mtibwa tuna hali mbaya, tunahitaji maombi. Adai wanaweza kupotea ligi kuu msimu ujao

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kwa sasa timu yao ina hali mbaya hivyo anawaomba Watanzania waongeze maombi ili waweze kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao.

Msikilize hapa...

Sasa Kila mwaka thobias timu inaponea chupichupi ,tumechoka kuiombea acha ishuke tu
 
Back
Top Bottom