BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,585 Reaction score 11,601 Nov 20, 2022 #1 Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye Kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana.
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Nov 20, 2022 #2 BigBro said: Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana Click to expand... Alikuwepo kwenye ligi ya South Africa Kwa sasa nimemwambia tumemiss ENGLISH yako ya haraka na manjonjo mara ya mwisho alitangaza akiwa Tanzania ,alisikika akisema ohhhhhh my god no electricity!!
BigBro said: Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana Click to expand... Alikuwepo kwenye ligi ya South Africa Kwa sasa nimemwambia tumemiss ENGLISH yako ya haraka na manjonjo mara ya mwisho alitangaza akiwa Tanzania ,alisikika akisema ohhhhhh my god no electricity!!
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Nov 20, 2022 #3 BigBro said: Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana Click to expand... Nimemuona bhana, kitambo sana. Sema baada ya kuondoka Robert Marawa nafikiri palipooza wakaona wamrudishe tena Mlambo
BigBro said: Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana Click to expand... Nimemuona bhana, kitambo sana. Sema baada ya kuondoka Robert Marawa nafikiri palipooza wakaona wamrudishe tena Mlambo