Umeniudhi kutomtaja Cyril Makanaky, hapo kati hapo!!Fainali za mwaka 1990 Cameroon walikuwa na vipaji kila eneo.
Ukiachana na Thomas N'kono na mwenzake Joseph Antonie Bell, binafsi nilivutiwa na safu nzima ya ulinzi chini ya Emmanuel Kunde na wenzake Jules Onana, Benjamin Massing, Bertin Ebwelle na Andrew Kana Biyik.
Hawa jamaa walikuwa burudani tosha.
Hiyo ni safu ya kiungo mkuu.Umeniudhi kutomtaja Cyril Makanaky, hapo kati hapo!!