Thomas Plantan amuadhimisha Paul von Lettow Vorbeck 1964

Thomas Plantan amuadhimisha Paul von Lettow Vorbeck 1964

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074



THOMAS PLANTAN AKIZUNGUMZA KIJERUMANI KATIKA KUMUADHIMISHA PAUL VON LETTOW VORBECK

Hiyo video nilipoipata niliipeleka Zentrum Moderner Orient, Berlin kwa rafiki yangu Prof. Kai Kresse na nikampa maelezo mafupi ya Thomas Plantan.

Nataka msomaji wangu nikuchukue safari fupi ndani ya kitabu cha Abdul Sykes nilipokutana na huu ukoo wa Plantan si kwa maelezo marefu bali kwa kukuwekea hapa zile sehemu ambazo nimetaja nikiamini utaweza kujenga picha yao na kuelewa historia yao na ulewe kwa nini historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ilikuja kuwa vile ilivyokuwa:

''Wajerumani waliwaajiri Wazulu 400 kutoka Msumbiji kijiji kilichoitwa Kwa Likunyi, Imhambane kama mamluki na kujanao Tanganyika ili wapigane na Abushiri bin Salim kutoka Pangani na Chifu Mkwawa kutoka Kalenga.

Pamoja na Kleist Mbuwane katika mji wa wa Dar es Salaam walikuwepo ndugu zake wa mbali watatu: Thomas Saudtz Plantan, Schneider Abdillah Plantan na Ramadhani Mashado Plantan.

Hawa Wazulu baada ya kulowea Dar es Salaam waliweza kutambulika kwa urahisi kutokana na majina yao ya Kikristo ingawa wao wenyewe walikuwa Waislam.

Majina hayo yalikuwa na mchanganyiko wa majina ya Kijerumani, Kireno na Kiingereza; kama vile Kleist na Schneider haya ni majina ya Kijerumani; Mashado ni jina la Kireno na Thomas ni la Kiingereza.

Wote hao, Kleist, Mwalimu Thomas, Schneider na Mashado baadaye walifanya kazi kubwa katika kupiga vita ukoloni na katika kuupeleka mbele Uislamu, kabla na baada ya uhuru lau kama baba zao waliingia Tanganyika kuja kuimarisha ukoloni wa Wajerumani.

Schneider alihusika sana katika kuingiza uongozi mpya wa vijana katika TAA mwaka wa 1950 wakati Dr. Vedasto Kyaruzi alipochaguliwa President na Abdul Sykes Secretary.

Mashado Plantan ni kati ya wanachama wa mwanzo wa TANU na alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU Ukumbi wa Arnautoglo ambao ulihidhuriwa na watu wasiozidi 20 hivi.

Mashado Platan ni Mwafrika wa pili kuwa na gazeti lake mwenyewe, ‘‘Zuhra,’’ ma ndilo lilikuwa sauti ya Waafrika wa Tanganyika.''
 
baada ya uhuru lau kama baba zao waliingia Tanganyika kuja kuimarisha ukoloni wa Wajerumani.

Hapo wengi walitumika kwa Jerumani au Muingereza kusaidia utawala wa kikoloni kupitia ajira. Kina Sykes senior (mzee) askari mamluki na Sykes junior (mtoto) baadaye kama Market master Kariakoo, Plantan askari , Mwl. Nyerere Pugu secondary, Martin Kayamba TEN AFRICANS : MARGERY PERHAM : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive n.k lakini hatimaye wakaja kuwa chachu ya kuchochea ukombozi wa swahili kabwela.
Desemba 17, 1919, Martin Kayamba na Ali bin Diwani waliitisha kikao cha watumishi wa umma wa kiafrika huko Tanga. Ndipo ilipofika mwezi machi,1922, kayamba akaanzisha chama cha wafanyakazi kilichoitwa Tanganyika Territory African Civil Servants Association (TTACSA), hiki ndicho chama cha kwanza cha kutetea wafanyakazi kwenye kurasa za historia ya Tanganyika. TTACSA ililenga kuwainua watanganyika wa kiafrika. Wanachama wake walikuwa watumishu wa umma, wasomi waliojifunza lugha ya kiimgereza, pamoja na wasio wasomi Historia ya mkoa wa Tanga
 
Hiyo video nilipoipata niliipeleka Zentrum Moderner Orient, Berlin kwa rafiki yangu Prof. Kai Kresse na nikampa maelezo mafupi ya Thomas Plantan.

Mzee Said Mohamed hawa askari wengine jamaa yako anaweza kuwatambua ili historia izidi kusheheni facts


Mazishi ya Paul von Lettow Vorbeck (20 March 1870 – 9 March 1964) yaliyofanyika Ujerumani na askari watiifu kutoka iliyokuwa German East Africa walialikwa kuhudhuria mwaka 1964.



Paul Emil von Lettow-Vorbeck (20 March 1870 – 9 March 1964), also called the Lion of Africa ( German: Löwe von Afrika)
In 1964, Paul von Lettow-Vorbeck died in Hamburg. The West German government and the Bundeswehr flew in two former Askaris as state guests, so that they could attend the funeral of "their" general.

Several officers of the Bundeswehr were assigned as an honor guard, and West Germany's Minister of Defense, Kai-Uwe von Hassel, gave the eulogy, saying that the deceased, "was truly undefeated in the field." Paul von Lettow-Vorbeck was buried in Pronstorf, Schleswig-Holstein in the cemetery of Vicelin Church
 
ASKARI ALITUMIKIA VITA KUU YA KWANZA YA DUNIA AKIWA ASKARI WA JESHI LA UJERUMANI
1714518854564.png


Photo : Bayume Mohamed Husen

Mtanganyika kwa jina Bayume Mohamed Husen aliyezaliwa 1904 aliyeacha legacy katika jeshi la mkoloni Ujerumani ya Afrika Mashariki ( Deutsch-Ostafrika) yaani Tanganyika, baada ya vita mwaka 1929 akazamia meli hadi Berlin Germany kudai pensheni ya uaskari ktk jeshi la Jerumani.

Akiishi nchini Ujerumani alifanikiwa kucheza katika filamu 20 akipewa uhusika mdogo ktk filamu zote. Alitumika kufundisha lugha ya kiSwahili katika vyuo Ujerumani.

Utajiuliza kwanini Ujerumani baada ya kushindwa vita na kupoteza koloni la Tangantika bado waliendelea kujifunza lugha ya kigeni kama KiSwahili, jibu ni kuwa walikuwa wanajitayarisha kwa vita ya pili ya dunia na kama wangeshinda wangedai makoloni yao ya zamani. Hivyo mzamiajia Bayume Mohamed Husen alifundisha askari polisi, wanausalama na wanajeshi kwa kazi za siku za mbeleni.


Bayume Mohamed Husen akiwa Ujerumani alioa mwanamke wa kijerumani na kuzaa nae watoto wawili .

Bayume Mohamed Husen’s Legacy​

( Tanganyika)
View: https://m.youtube.com/watch?v=NgmRipKRELc
Bayume Mohamed Husen askari mtoto wa Jeshi la Jeremani mwenyeji wa German East Africa

Bayume Mohamed Husen (named Mahjub bin Mohamed Adam at birth on February 22, 1904–November 24, 1944) was a soldier of Afro-German descent, an actor, and a Nazi persecution victim.

Bayume Mohamed Husen, an askari officer’s son, served in WW I with German troops in East Africa alongside his father. He was later employed to be a waiter on a shipping line from Germany, and in 1929, this enabled him to migrate to Germany. He married in January of 1933 and began a family. Husen backed the neocolonialist movement in Germany and donated to the Deutsche Afrika-Schau, which was previously a human zoo utilized by propagandists for the Nazis. Husen laboured as a waiter as well as a variety of lesser occupations, including language instruction and supporting roles in several African-themed German films. He was sent to KZ Sachsenhausen in 1941 and succumbed in 1944.

Bayume Mohamed Husen’s life was documented in a documentary film released in 2014 and a biography published in 2007.

Bayume Mohamed Husen’s Background​

1714518727532.png

Bayume Mohamed Husen was born in the city of Dar es Salaam, which was part of the former German East Africa. He was the son of a former askari officer who was an Effendi by rank. He had previously learnt German and was employed as a clerk in a textile plant in Lindi before World War I. In 1914, when World War I broke out, Husen and his father both joined Schutztruppe and fought against the Allies in East Africa’s campaign. Husen was captured in October of 1917 by British soldiers after being wounded during the Battle of Mahiwa.

Bayume Mohamed Husen served as a “servant (boy)” on numerous cruise ships after the war, and in 1925 he was employed as a waiter on the ship Deutsche Ost-Afrika Linie. He went to Berlin in 1929 to collect unpaid military wages for his father and himself, but the Foreign Office rejected his claims as being too late. Husen continued to be a waiter in Berlin. He taught Swahili to authorities and security people and worked as a tutor on low wages. E.g., for Diedrich Westermann, a renowned scholar.

Diedrich Westermann - ScholarDiedrich Westermann – Scholar

On 27 January 1933, 3 days before Adolf Hitler took power, he married Maria Schwandner, a Sudeten German lady. They got a daughter named Annemarie (1936-1939) and a son, Ahmed Mohamed Husen Adam (1933–1938). Husen also had a son named Bodo Heinz Husen (1933-1945) from a previous connection with a German lady, Lotta Holzkamp, Schwandner adopted and raised him with his step-siblings.

Bayume Mohamed Husen Involvement in the Neocolonialist Movement​

, he applied for the “Frontkämpfer-Abzeichen,” which was the honour cross of the front-line veterans but was unsuccessful. In a mail addressed to the foreign office, Paul von Lettow-Vorbeck seemingly explicitly ruled out the instance of Husen, indicating that the German officials were generally unwilling to place the honour on “coloreds”. Husen did, however, wear the emblem and uniform of an askari that he most likely purchased from a dealer of military supplies while attending demonstrations of the neo-colonialist movement in Germany, which aimed to recapture Germany’s lost territories.

It’s unclear whether Bayume Mohamed Husen ever lost or received German citizenship. In Weimar Germany, it was normal practice to issue passports to immigrants from former colonies of Germany with the endorsement “German Protegee” (Deutscher Schutzbefohlener), which did not grant full citizenship. Following Hitler’s ascension to power and in respect to the Treaty of Versailles, black Germans who migrated from previous colonies were frequently considered citizens of the nation that had replaced Germany as the ruling colonial authority. No level of racial discrimination towards black Germans was akin to the systematic hate encountered by the Jewish minority, as shown by Hans Massaquoi’s case.


Various Assignments in Nazi Germany.​

Bayume Mohamed Husen went back to Tanganyika for a brief period in 1934 while filming Die Reiter von Deutsch-Ostafrika, where he played a minor character. In 1935, Husen was fired from his waitressing job at Haus Vaterland pleasure palace owing to racist allegations from two coworkers, stripping him of his main source of income. He was also said to have had ongoing disputes with the Humboldt (Friedrich Wilhelm) University of Berlin Seminar for oriental languages, where he previously taught the Swahili language to police trainees preparing to serve in the reclaimed German colonies following German triumph in the expected war, or even in the unlikely event of a reversal of the Treaty of Versailles’ colonial clauses.

Bayume Mohamed Husen entered the Deutsche Afrika-Schau in 1936, a kind of human zoo set up by the Foreign Office of Germany in an effort to reclaim its former colonies. The German Foreign Office hoped to employ Afro-Germans to counter foreign allegations that Nazi Germany was incapable of administering colonies. During the Battle of France and Occupation of the Rhineland, other sectors of the Nazi leadership attempted to employ foreign colonial forces as a tool for propaganda. Because of the war, the show was cancelled in 1940.

Husen applied for membership in the Wehrmacht when the French and British declared war on Germany but was turned down. Bayume Mohamed Husen featured in a minimum of twenty-three German films between 1939 and 1941, mostly as a supporting cast or in small speaking roles. Ramasan, a native companion of Carl Peters, a German colonialist in the film Ramasan released in 1941, was his final and most notable performance. Martin Heepe, an Africanist professor and linguistic scholar, allegedly harassed him, and he left the university in April of 1941. He had an affair on set with a German lady, and the authorities were informed.

The Gestapo apprehended Bayume Mohamed Husen on a racist allegation and incarcerated him at the Sachsenhausen concentration camp without trial. He died there in 1944.

Bayume Mohamed Husen’s Legacy​

1714518994204.png

Husen’s life was brought to the attention of a larger German audience in 2007 by Marianne Bechhaus-Gerst. Gunter Demnig, an artist, placed a stolperstein memorial stone in front of Husen’s former Berlin residence.

Majubs Reise, a 2014 documentary film directed by Eva Knopf, is centred around Husen’s life.

Filmography​

TitleYearRoleNotes
Pedro Will Hang1941PflegerLast film role
Carl Peters1941Ramasan
The Star of Rio1940
Congo Express1939Farm Worker
Men Are That Way1939Ein Gast im Lokal
Sergent Berry1938Unrecognised
Eine Frau kommt in die Tropen1938Servant
Der unmögliche Herr Pitt1938Kamel7treiber
Five Million Look for an Heir1938Liftboy
Faded Melody1938Ein Zeitungsverkäufer based in the city of New York
Schüsse in Kabine 71938
To New Stones1937Diener Farbiger des Gouverneurs
Die Reiter von Deutsch-Ostafrika1934Mustapha Signalschüler
 
Back
Top Bottom