Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Hahaaa I like it.Thomas Tuchel:" Edouard Mendy ndiye anayeua morali ya striker wetu, hawapi nafasi ya kufunga hata mazoezini."
Dharau hizi zitakoma msimu huu.Ukicheza big match na Uncle Tom timu yako ikapiga short on target moja shukuru Mungu, short on target moja ndo ushindi wa wapinzani kwenye big match.
Hongereni Liverpool kwa ushindi mlioupata nyumbani Anfield kwa kupiga short on Target moja(Rejea mechi ya round ya pili ya ligi)
Kumbu kumbu zangu zinaonyesha Westbrom walipiga shots on target tano na zote zikazama.Ukicheza big match na Uncle Tom timu yako ikapiga short on target moja shukuru Mungu, short on target moja ndo ushindi wa wapinzani kwenye big match.
Hongereni Liverpool kwa ushindi mlioupata nyumbani Anfield kwa kupiga short on Target moja(Rejea mechi ya round ya pili ya ligi)
yule jamaa kumbe ile tabia ni kuazia mazoezi!!!!!Thomas Tuchel:" Edouard Mendy ndiye anayeua morali ya striker wetu, hawapi nafasi ya kufunga hata mazoezini."
Tabia hujenga mazoea waswahili tunasema kuua morali wenzake kashazoea yule sasa kwenye mechi ndo anaizika morali yenye we rejea nusu fainali na Madrid Benzema na Toni walivyohangaika daah asee hii Chelsea inatupa EGO had wapinzani wanachukia wanakimbilia kwa historyyule jamaa kumbe ile tabia ni kuazia mazoezi!!!!!
Kwa usajili wa Kounate ndo Liverpool itabadlika au ni ileile ya msimu uliopita ambayo mlikua na Wijnaldum aliyewakimbia π nikikwambia utaje timu mbili ambazo unazipa nafas ya ubingwa Liverpool inakaa wapi?Dharau hizi zitakoma msimu huu.
Ndipo utamjua Klopp ni nani na kwa nini Liverpool ni timu kubwa kuliko Chelsea.