Darucha
Senior Member
- Dec 28, 2020
- 111
- 211
Chelsea hii ya kuwaanzisha Reece James na Azipilicueta waanze pamoja (no creativity)? Chelsea hii ya kutuaminisha kuwa Timo Werner ni mchezaji mzuri wakati ligi inaonekana imemshinda? Chelsea hii ya wachezaji wanafanya makosa yaleyale?
Unaacha wachezaji ambao wanaweza wakaleta ubunifu wa Hali ya juu Kama Giroud na Zyech unaenda kutuchezesheya full-backs na viungo laini kama Jorginho na Timo Werner tunaenda nusu final kucheza na Madrid sijui Kama tutatoka hapa salama baadhi ya wachezaji viwango vimeshuka Kama Reece James.
Mpira pia wakubutuabutua kiufupi timu Haina mvuto kabisa.