TB Joshua ni mpigaji.
Nakuomba pmHata picha haunaa
Ndio unapicha pmNakuomba pm
[emoji20] other issuesNdio unapicha pm
Mmh bado tuna mwendo mrefu katika imani. Lakini ukipenda, short cut zipo. Utachagua mwenyewe kutumia au kuacha.Namouna Thomas Ulimwengu akitoa ushuhuda leo jumapili usiku Emmanuel TV Sunday service live kuwa alikuwa majeruhi baada ya kuumia ktk mechi na ilitakiwa afanyiwe operesheni lakini Dada yake alimshauri aende kwa T B Joshua na alivyoguswa na Nabii wa ukweli alijisikia kama Kuna nguvu ya umeme inapita ktk jeraha lake wakati roho ya uponyaji ilipokuwa inafanya kazi ktk mguu wake na baadae aliweza kupona kabisa wa kuweza kuruka ruka bila maamivu yoyote Mungu ni Mwema kwa kumtumia Nabii kufanya nguvu ya uponyaji wa haraka sana
Twende kesho kama kuna issue ya business[emoji20] other issues
God is good.Namouna Thomas Ulimwengu akitoa ushuhuda leo jumapili usiku Emmanuel TV Sunday service live kuwa alikuwa majeruhi baada ya kuumia ktk mechi na ilitakiwa afanyiwe operesheni lakini Dada yake alimshauri aende kwa T B Joshua na alivyoguswa na Nabii wa ukweli alijisikia kama Kuna nguvu ya umeme inapita ktk jeraha lake wakati roho ya uponyaji ilipokuwa inafanya kazi ktk mguu wake na baadae aliweza kupona kabisa wa kuweza kuruka ruka bila maamivu yoyote Mungu ni Mwema kwa kumtumia Nabii kufanya nguvu ya uponyaji wa haraka sana
Mkuu hiyo avatar yako ndio wewe?Hata picha haunaa
Mkuu anzisha thread ya kuhlizia picha za avatar ,,kwenye avatar yako ni wewe[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkuu hiyo avatar yako ndio wewe?
Teh teh teh kwani kuuliza kuhusu avatar ni kosa?Mkuu anzisha thread ya kuhlizia picha za avatar ,,kwenye avatar yako ni wewe[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Twataka tuone picha ya ulimwengu akiwa na tb joshuaTeh teh teh kwani kuuliza kuhusu avatar ni kosa?
Mkuu sikuweza piga picha lakini itarudiwa wiki hii kama una decorder yenye Emmanuel TV na wataipost u tube soon lakini lugha ilimgonga kidogo lakini unajua kidhungu sio mother tongue au lugha ya kwanza kwa watz
Kupenda kwako big boot zinakuletea hizi shidaTwende kesho kama kuna issue ya business
All the timeGod is good.