http://rapidshare.com/files/250148250/Thomson.Endnote.X3.v13.0.0.3094-DOA.rar
wanasema hivyo.....You want to download the following file:
http://rapidshare.com/files/250148250/Thomson.Endnote.X3.v13.0.0.3094-DOA.rar | 65258 KB
Unfortunately right now our servers are overloaded and we have no more download slots left for non-members. Of course you can also try again later.
haina noma!MZUKAPole, huwa ni kawaida ya servers ZOZOTE duniani kuwa overloaded, so retry mkuu. Usione JF sometimes inakuwa down kwa dakika kama 5 hivi, huwa ni jambo la kawaida.
Try within 10min to come pls
AHSANTE!hata hivyo imekubali sasa!nilirefresh tu page nikaigonga IKATIKI!...inakaribia 20% downoad sasaMkuu Geoff, pls use this alternative link:
Code:http://ugotfile.com/file/580018/Thomson.Endnote.X3.v13.0.1.4261-RECOiL.rar
Wakuu mwenye keys za Endnote reference manager X7. Msaada tutani
Mkuu msaada wa key ya Endnote X7niliidownload kat.ph i hope ukienda humo utaipata
Mkuu msaada wa key ya Endnote X7
Thanx in advance
kazi kuu ya hii software ni nini?
hii ni kwa ajili ya wasomi wa chuo kikuu kwa ajili ya kumanage references na mengineyo wakati wanaandika research paper zao, na paper zingine kwa ujumla....