Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Angekuwa JPM kafanya hivi Media ya Kenya ingekuwa ya kwanza kumchomea na wahisani wangeenda kuzuia support kwa development projects! Kumbuka WB walichofanya Ubungo Highway!Wahisani wakiziona hizi watatuma misaada
Geza kwa kuishi in denial hamna wapinzani...sasa unataka kutuambia serikali ya Tanzania haijawai wabomolea wananchi nyumba???Angekuwa JPM kafanya hivi Media ya Kenya ingekuwa ya kwanza kumchomea na wahisani wangeenda kuzuia support kwa development projects! Kumbuka WB walichofanya Ubungo Highway!
si kipindi hiki fool! Uhuru looks stupid!Geza kwa kuishi in denial hamna wapinzani...sasa unataka kutuambia serikali ya Tanzania haijawai wabomolea wananchi nyumba???
Sent using Jamii Forums mobile app
What difference does it make??wakati wowote watu wataumia badosi kipindi hiki fool! Uhuru looks stupid!
Sasa hiki si kipindi cha kuji isolate, unavunjaje nyenzo za isolation za wananchi wako. MnazinguaWhat difference does it make??wakati wowote watu wataumia bado